Tupeni FEEDBACK sasa! Inamaana Mnaomba wachumba HAMUWAPATI?

Said BARGHASH

Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Nduguni, posts za kutafuta wachumba na wapenzi ni nyingi mno, mbona hamturejeshei majibu?
 
Mimi nimempata wangu humu..!
 
Umeuliza swali lenye mantiki mkuu....tumezoea kutafuta ila aliyepata hatuna record zake...Au limekuwa fumbo kama la kifo??????????????
 
Aah,mim tangu nianze cjampata et,mpaka nahis hapa jamvin pana wanaume tupu
 
Nilikutana na changamoto za kutosha.
Nilikutana na applications nyingi.
Nilikutana na ugumu wa kufanya maamuzi thabiti.
Nilitukanwa, nili nuniwa, nilidhihakiwa and ect.
Kwahakika nilikutana na wakati mgumu kiujumla, na nashukuru mungu NIMEMPATA mdada wa haja ya moyo wangu.
 

hongera
 
hallo!

 
siriazi tena kuna watu wapo siriazi humu mie nilichukulia utani sana na mpaka sasa roho inanisuta loo
nili hukua tangazo la mtu mwaka jana octoba tukaanza kuwasiliana mie sikuwa siriazi kiivyo mjamaa yuko siriazi balaa hamadi kwa wazazi,matunzo juu juu
mhhh mie nikajitoa hapo ikabidi nifanye vituko vituko niharibu ila mjamaa alikuwa gt wa ukwelli hakukata tamaa daamn ikabidi nimuambie ukweli tu aliumia sana.
I hope atapata wa ukwee humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…