GAGL
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 392
- 400
Katika utawala wa wajerumani palitokea kijana mmoja ambaye alijulikana kama Bahume, ambaye baadae alikwenda kuishi Ujerumani na kuwa muigizaji maarufu sana miaka hiyo kabla ya WWII. Inasemekana aliuawa kwa amri ya Hitler baada ya kumsaliti mkewe aliyekuwa mjerumani. Mwenye historia kamili atuwekee hapa maana huyu bwana alitakiwa apewe sifa sambamba na Charlie Chaplin