Tupeni maujuzi ya kukaanga chipsi

Tupeni maujuzi ya kukaanga chipsi

Theb

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
3,927
Reaction score
7,276
Wakuu napenda kupata hata ka ujuzi kwenye ukangaji wa vibanzi yaani chipsi.

Naomba kujua ya fuatayo:-
1. Kiloba cha ndoo 4 kinauwezo wa kutoa sahani ngapi za vibanzi(chipsi).
(Hata kama unajua lwa ndoo ya lita 20 kuwa inatoa sahani ngapi tujuze hapa)
2. Upishi unahitaji vitu gani muhimu?
3. Aina ya jiko lililobora katika kuzitengeneza.

Naombeni kujua hayo[emoji1312][emoji1312]
 
Back
Top Bottom