DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,256
- 4,647
Habari wana jamvi,
Kwa wale wenzetu mliobahatika kupata chanjo tayari, tupeane taarifa.
Ni aina gani ya chanjo ulipewa?
Baada ya kupigwa chanjo umebaini tatizo lolote la muda mfupi?
Chochote cha kuzingatia?
Je, kwa maoni binafsi unaweza kumshauri mtu achanjwe baada ya ulichoki experience?
Tuelimishane, tutoane hofu na tupambane na upotoshaji.