Tupeni ufafanuzi ma-doctor

Tupeni ufafanuzi ma-doctor

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Posts
1,747
Reaction score
386
Tunafahamu kuwa mtoto anapozaliwa lazima alie(cry) ili kuamsha mfumo wake wa upumuaji pamoja na sababu nyingine za kimaumbile kama zipo.
Swali; ni mechanism au coordination gani inayofanyika katika mwili wa kiumbe huyo unao-trigger kulia kwa mtoto?
 
Back
Top Bottom