T Tiger JF-Expert Member Joined Nov 30, 2007 Posts 1,747 Reaction score 386 Jun 15, 2013 #1 Tunafahamu kuwa mtoto anapozaliwa lazima alie(cry) ili kuamsha mfumo wake wa upumuaji pamoja na sababu nyingine za kimaumbile kama zipo. Swali; ni mechanism au coordination gani inayofanyika katika mwili wa kiumbe huyo unao-trigger kulia kwa mtoto?
Tunafahamu kuwa mtoto anapozaliwa lazima alie(cry) ili kuamsha mfumo wake wa upumuaji pamoja na sababu nyingine za kimaumbile kama zipo. Swali; ni mechanism au coordination gani inayofanyika katika mwili wa kiumbe huyo unao-trigger kulia kwa mtoto?