Oooih sio galadudu ni ya General Galadudu
NzuriHabari za siku nyingi
Duuh! Utamu unakuja utamu unakataaEndeleeni kufurahisha macho wakuu ila sio mimi
Basi itakuwa wanatumia same avatar my dear.
Hahahaha.....Hapana anaefanania mimi nikiiweka mtanisahau bora hiyo kidogo hata ntapata salam
SakayoNzuri
Am well mkuu KIOOAm good my dear & u...?
AbeeSakayo
Kabadilisha..
Ilikua avatar ya kamjeda kafupii hafu kanasura mbaya..
Anha, umeamini sasa my...?