Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
Mtoto wa get mtoto wa kishua,kwao masaki anapata vitu lainilaini,vyuku chips Mayai,akija kwetu anakuta ugali wa kulumangia na kachumbari,choo passport size.
by inspector harun
Yuko wapi huyu jamaa sikuhizi?Mara ya mwisho nimemuona kino studio anasubiri dala dala
"kuleni kuku mayai vya kuujengu mwili na kujenga nyumba safi pa kulala pawe bora"