Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Da mkuu umetisha ssnaSlow slow is yes Movement.
Pole pole ndiyo mwendo.
Jamaa alilala na Mzungu aitwaye Kassim sasa usiku yule Mzungu akachukua mto wa Bushmen na bushmen hajui kiingereza akasema.Don't take my liver
Usichukue mto wangu.
Ebu toa tafsiri ya zote mbili hizo kwanzaaNimekuta missed call yako
badala nimemiss call yako.
Wallah nimechekaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Father father tuesday has job hundred.. Baba baba jumanne kazimia
Aahhaahah..We waited yooouuu but where ( tumesubiri wee lakini wapi)
Watu balaa kakaWallah nimechekaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MKUU hyo IPO sahihi...NIMEKUTA MISSED CALL YAKO...Nimekuta missed call yako
badala nimemiss call yako.
Hii ni hoja kubwa Mkuu.Nimekuta missed call yako
badala nimemiss call yako.