Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,442
- 4,388
Naanza mimi:
Salaam za Krismas na Mwaka Mpya Mtukufu Rais!Mimi huwa napenda tu kukutazama jinsi unavyoonekana kukifurahia cheo chako cha Urais pengine kuliko Marais wote wane waliokutangulia na pengine kuliko binadamu yeyote ambaye amepata kuwa Rais hapa duniani - kiasi kwamba unaona katiba kwako wewe si lolote si chochote!
Ujumbe: Tenda haki 2017 nawe utaishi na kutawala kwa Amani.
Wako Mtiifu,