Kitovu cha mtoto kikikatika kisidondokee nanihino (hasa kwa mtoto wa kiume), vinginevyo mtoto atakuwa si rizki!
True or not, nilihakikisha hakidondoki vibaya kwa mwanangu, kwa kuwa sikuwa na cha kupoteza kwa kuhakikisha hakidondokei nanihino.......

Mkichanganya mikojo wakati wa kukojoa, mama zenu watakatika maziwa..
Mapaja ya kuku na maini ni kwa ajili ya baba...
Ukijamba mbele ya mzungu unapewa hela na huyo mzungu.
Watoto hawazaliwi kuna sehemu ambako huenda kununuliwa.
Ukimuona mtu na pikikipiki nyekundu ujue ni mnyonya damu.
Good work,machangu watamkoma.
ukkalia Figa utapata jipu kalioni. Ukikomba mwiko mtoto wa kiume ukubwani utakosa mchumba. Ukitupia ungo kwenye kimbunga shetani atatokea. Ukinunua chumvi usiku usiite chumvi iite dawa ya jikoni. Timu pinzani ikipiga penati tushike nyeti zetu kwa kuzibana penati itakoswa. Goli la kichwa hues halirudishwi. (Any one to prove because some are still used up to now!!)Mkichanganya mikojo wakati wa kukojoa, mama zenu watakatika maziwa..
Mapaja ya kuku na maini ni kwa ajili ya baba...
Ukijamba mbele ya mzungu unapewa hela na huyo mzungu.
Watoto hawazaliwi kuna sehemu ambako huenda kununuliwa.
Ukimuona mtu na pikikipiki nyekundu ujue ni mnyonya damu.
Hii imenikumbusha baba mmoja mtaani kwetu alikuwa daktari wa mifugo, alikuwa na pikipiki nyekundu, siku moja alianguka nayo akiwa amebeba nyama, basi watoto tukaenda kuangalia, kukuta nyama zimesambaa chini, tukajua katoka kumyonya mtu damu kisha akamuua. Tulikimbia kila mtu kwao, na ndo ikawa stori mpk tumekuwa wakubwa