Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 921
Habari wadau? Husikeni na kichwa cha thread apo juu. Tuliomo humu wengi wetu au baadhi yetu hatukuwa kabisa na mpango wa kujiunga rasmi na JF ijapokuwa tulikuwa hatuifahamu au tunaifahamu na tulikuwa hatuna mpango nayo isipokuwa kuna thread ulikutananayo huko google ndio ikakuleta hadi humu JF na ukainpenda na ukaamua ujiunge rasmi na JF.
Lengo hapa sio kuwapigia debe watu fulani, lakini siku zote aliyeku-inspire na ukajifunza kitu kutoka kwake mpe credit zake. Tuache wivu jamani tutiririke.
Naanza na mimi mwenyewe,
Rakims #mwanzo wa Meditation