Wajameni.. Mie Rubii wangu tu.!
Yaani amepotea humu mpaka nakosa furaha kabisa,
Najiuliza sijui wamemuoa au labda naye katumbuliwa kwenye vyeti feki.?
Yaani nakosa furaha kabisa!
Mwingine ni huyu mdada anayeitwaga mchepuko wa mkulu, miss chagga @ Haven on earth