Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Hahaha sio kwa kunitenga huko ujueππni mnyaturu au???
Yaani wewe kila ukija town unajikuta biiizeeπHahaha sio kwa kunitenga huko ujue
Kila nikija mjini nakutana na hewa
Mekosa nini mimi
Hahaha nimeondoka apo kwa wazaramo Jana tu.Yaani wewe kila ukija town unajikuta biiizeeπ
Sanch' kweli wewe wa kunifanyia hivyo mm confessor..??!really....???Hahaha nimeondoka apo kwa wazaramo Jana tu.
Kiporo cha wali ndondo ndo nimekikosa ivo daah
aki tena ulikuwa haupatikani; nimefanya kila namba ujue.Sanch' kweli wewe wa kunifanyia hivyo mm confessor..??!really....???
Nakosa kukuamini mimiπ’aki tena ulikuwa haupatikani; nimefanya kila namba ujue.
This time around nipo sana; just relax
Ndiomana hata nimeleta bango uku
Please my trust is in youNakosa kukuamini mimiπ’
Hahahahah....we haya tuu...!!!!Please my trust is in you
kwako Mimi kusema uongo sijui
Sipotei tena aki.
Amebadili jina anajiita shadeeya.
Demiss yupo anadanga kule jukwaa la wakubwa
Heh! Hiyo namba hatari sana.Demiss yupo anadanga kule jukwaa la wakubwa
Lara1, cjui yuko wapi siku hizi. Au kabadilisha ID
Ban mzee babaMbitiyanza kapeace
Siku hizi nipo Bashnet......nimekuwa mwalimu....silimi tena vitunguu.....