Nimekuja Bina majukumu yaliniteka.. Pole kwa usumbufu 😀😀
Daah!! Binamu nzuri sana hiyo nikajua wamekuteka wale watu wa kule kwetu Tanga. 😀😀😀😀 Mana huwa nasikia wanasema kukuachia mpaka wakuruhusu. Teh teh.Nimekuja Bina majukumu yaliniteka.. Pole kwa usumbufu 😀😀
😀😆😬Ukorofi wako tuu.Daah!! Binamu nzuri sana hiyo nikajua wamekuteka wale watu wa kule kwetu Tanga. 😀😀😀😀 Mana huwa nasikia wanasema kukuachia mpaka wakuruhusu. Teh teh.
Mefurahi kukuona Bina.
Long time mzee...!!!