Sitaki. Huu ni mtego
Achana nae myHeheh mtwa mkulu useme nani alikukeep busy
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Mimi nafahamiana na Behaviourist
We me nakufahamuwengi mno humu nawafahamu ila wao hawanifahamu tunaofahamina
Kibodangote na Davet
manengelo ID yako kila nikiiona najua ni mbitiyaza
Ina wa mtandaoni tu.@Inna
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Dah list ni ndefu sana lakini kwa haraka ni ni kama 100 hiviWapo wengi wengine tulijuana kwenye biashara za kilimo enzi zile... baadhi kwenye harakati ya NNT huyu alidai ananijua tulionana simu2000 Mshana Jr
Wewe je Ni member gani unae mfahamu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa nitashindwa kukujibu.
Ukishajua nimekitana na fulani itakusaidia nini?
[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144]Siku ukifa tutamfollow
Nimesahau kukutaja.. Tena wewe ndio watu wa mwanzoni kukutana nao... Nakumbuka mara ya kwanza 2013? Tulikutana Tiptop manzese kwenye bar moja iko ghorofaniWapo wengi wengine tulijuana kwenye biashara za kilimo enzi zile... baadhi kwenye harakati ya NNT huyu alidai ananijua tulionana simu2000 Mshana Jr
Wewe je Ni member gani unae mfahamu?
Kitambo kidogo mkuuNimesahau kukutaja.. Tena wewe ndio watu wa mwanzoni kukutana nao... Nakumbuka mara ya kwanza 2013? Tulikutana Tiptop manzese kwenye bar moja iko ghorofani
Shemeji naamini kati ya hao zaidi ya 100 nami nimo. Maana haiwezekani nikosekane kwakweli.Dah list ni ndefu sana lakini kwa haraka ni ni kama 100 hivi
Wengine tulikutana mara moja tu... Wengine zaidi ya mara moja wengine mpaka leo tuko pamoja
tuna baisikeli ya BMW mzee😂Uhalisia anaujua mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe si hutaki halafu unanibania kwa dogoShemeji naamini kati ya hao zaidi ya 100 nami nimo. Maana haiwezekani nikosekane kwakweli.
Kumbe we ba mkwe wangu [emoji134][emoji134][emoji134]wengi mno humu nawafahamu ila wao hawanifahamu tunaofahamina
Kibodangote na Davet
wewe tunafahamiana sio tu unanifahamuWe me nakufahamu