Tupia jina la member unayefahamiana nae


Hip Hop ni kwa wote shemeji hata wewe
 
Hahaha ili mukaombe connection?

Acheni uzwazwa....tunaopondea serikali hamtupati kiboya hivyo.
 
Uzi wa ajabu sana if you ask me!

Ku-blow cover ya member yoyote humu ni kinyume cha sheria to begin with!

Then,watu wanajenga chain ya kujuana personally!

Then ni rahisi sana mtu kujenga chain na kuhakikisha the chain is well established

Kwa kila known part then anaweza ng’oa mmoja baada ya mwingine kwa kumbinya yule alie on top of the chain!

Ndio ujinga huu huu unasikia kima mmoja kashikwa huko na kuanza kuilalamikia JF!

Niggas are so dumb,in your caskets,still sleeping!

Niggas never learn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…