princess enny JF-Expert Member Joined May 27, 2012 Posts 1,038 Reaction score 379 Jun 12, 2012 #1 kuna dogo mmoja alikuwa anafuatilisha tangazo la EATV!!! "together tunawakilisha" nikamuuliza together maana yake nini akasema "tunawakilisha" hayyyya tena na we tupia lako ambalo ulilielewa ndivyo sivyo!
kuna dogo mmoja alikuwa anafuatilisha tangazo la EATV!!! "together tunawakilisha" nikamuuliza together maana yake nini akasema "tunawakilisha" hayyyya tena na we tupia lako ambalo ulilielewa ndivyo sivyo!