Tupia majina ya baa za kibongo

Haha ukishawaka pale mataa anakuvushaga nani?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nkishawaka huwa inakuaga ishu sana mkuu, ila si unajua mtu akiwaka anavyojikaza kisabuni asionekane kalewa? Huwa nakomaa navuka tu mwenyewe
 
Rambo Bar Manzese!
Kona Bar Afrika Sana!
Kimboka Bar Buguruni!
 
Traffic jam bar,hii ni mashuhuri kwa wale wenye magari wanaotoka mwenge kupita ubungo mataa,sasa ukiona foleni kali unachepuka service road unaingia traffic jam bar!Hapo unapiga ''kitwanga'' mpaka foleni ilegeze!Ukiwa unavuka barabara maeneo hayo kuwa makini coz watu wanakuwa high sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…