Tupia majina ya baa za kibongo

Shamba la nyege bar ipo lamadi wilaya buseka mkoa simiyu
 
laki so pesa bar,IPO dar manzese
 
Rombo annex bar(mbege kwa afya mkate kwa damu)ipo lizaboni songea
 
''Matako Bar'' Mkuru Dodoma~ jina linatokana na mmiliki mdada kuwa na hips na matako makubwa hatariiiii! Naogopa kumchafua ningemweka hapa picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…