Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Ng'ombe,Ng'wanzaMiso,mapilinga,nyang'olongo=Misugwi
nyasaka,nyambiti,kangaye,nyashana,bbujigwa,pasiasi=Mwanza
Nyanguku,kamena=Geita.
 
**** MOTO(japan), Mwembe Kiuno(Mtoni kwa aziz ali), mahakama ya mbuzi vingunguti, njia panda ya ulaya(Dar, airport), Wali Nazi (Sumbawanga), **** Nkutembe(Kibondo), Vijibweni(Kigamboni),Panua Niingize(ngara),Mamba Miamba(same), Ishinde(same), Kifaru(Mwanga)Kiboro-loni(Moshi),Makorora(Tanga), Horohoro(Tanga)........
 
uwanja wa fisi(Manzese,Dar), Tandika Maguruwe(TMK, Dar), Manzese kwa Mfuga mbwa, Mlingotini(Bagamoyo)
 
Mbunge wa enzi hizo wa Morogoro aliwachekesha wenzi aliposema miradi ya maendeleo ya matombo imesahauilika walipocheka akawaambia mbona huko kuna kata pia inaitwa mtombozi.
 
Kwa mtaaz,kwa maligwa,kwediboma,-handeni hiyo ya dr Kigoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…