Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Kivungu,tindiga,mbwade,mlegeni,ulaya,zombo,manyenyere,mamoyo,tende,mkata(kilosa kwa mkulo),ziginali(kilombero),pandambili,songambele,mtanana,makulu,hazina,kikuyu,(dodoma)
 
Nkundutsi (Kigoma - Kasulu), Nyamasovu (Kigoma - Manyovu), Mwandinga (Kigoma), Unga ltd (Arusha), Msamvu (MOrogoro), Kilongawima (Dar - Mbezi beach), Maji matitu (Dar - Mbagala), Kazuramimba (Kigoma - Uvinza), Mafiati (Mbeya -Mwanjelwa), Namanyele (Rukwa), Kibororoni (kilimanjaro - Moshi), Tuliani (Morogoro).
 
Kwa ujumla majina yote ni kituko ila tunayakubali kwa mazoea tu maana nimejikuta nacheka majina ambayo kwangu nilikuwa nikionaga ya kawaida ila leo ndo nimegundua kumbe bora yale ya Japani.

Mwidu-pwani, Kwedikwezi-Tanga, Ngurdoto, Kikatiti, Marangu, Kigurunyembe, Magadu
 
kajiungeni-pugu
kapugi-tukuyu mbeya
majani mapana-tanga
Staki shari-ukonga
 
Humo kwenye * kuna herufi gani humo? Ungeweka hata herufi chache na * vingine tumalizie wenyewe, lakini hivyo tumashindwa hata ku-guess!
 

Malambamawili-MBEZI, Uda bovu-YOMBO, Sunna-MAGOMENI, Mabwepande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…