Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Kinyegempasi,idenyekinembe, ziko njombe hizo kata ya saja au wilaya wa wanging'ombe
 
1:Cheka Ung'atwe - Arusha
2:Viziwaziwa - Kibaha (Kwa Mfipa)
3:Mharakani - Kibaha (Kwa Mathias)
4:Kwa Kivuzi - Kiluvya Makurunge (Kisarawe)
5:Galagaza - Kibaha (Kwa Mfipa)
6:Karabaka - Kibaha (Misugusugu)
7:Waamuzi - Kibaha (Misugusugu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…