Nae huunganishwa na wala ban..Je kama mtu ameamua kuchukua hiyo kitu akaitumia kwenye Avatar yake mkuu...?
Mkuu ubishi wa mpira si tatizo. Tatizo ni pale unaanza kumtolea mwenzako matusi. Sasa ili iweje.?Najua mnachukia kwa sababu ya ubishi wa mpira.
Itakua aseeh.. Maana anautajiri wa matusiKamtukana mtu nini aiseee.
Kala ban tena mkuu..tamkumbuka sana kule mahalaHuyu kala ban?
Kwan ni lakwake?Lidude mkuu. Hahah.
Afadhali kwani hakuna adhabu nyingine zaidi ya ban?Kala ban tena mkuu..tamkumbuka sana kule mahala
Ndio Mzee wa USA baby?Mpaka nyani kala ban, huyo wampe hata ya life ban.
YesNdio Mzee wa USA baby?