The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Safi kabisa , natural justice hiyoWaboreshe kabla ya kula ban wakuhoji, ikionekana maelezo yako hayafai ndiyo upigwe ban.
Ww mwenyewe upo vzr....Mkuu ubishi wa mpira si tatizo. Tatizo ni pale unaanza kumtolea mwenzako matusi. Sasa ili iweje.?
Muhimu sana mkuuKuwa na id nyingi muhimu
Mpaka nyani kala ban, huyo wampe hata ya life ban.
Maanake ni kwamba unakaribia kuanza kulipwa mshahara.
duuhh witness tena ??Na Witnessj kailamba mda si mchache
Hivi mtu akila ban utajuaje kuwa ni ya siku ngapi?
hahaaa basi mimi itakuwa nawadai hela Hawa Jamaa aiseeMaanake ni kwamba unakaribia kuanza kulipwa mshahara.
Zilikuwa burudani sana! Sijui kaenda wap huyu mtuNimezimisi episode zake si kawaida
Labda girisiZilikuwa burudani sana! Sijui kaenda wap huyu mtu
Hawa wote wapo kifungoni?????
Umewahi kupata Ban mkuu?Hivi ukiwa banned nini unaathirika?
Sijajua. Ila huwa mara nyingine nikijaribu kuingia JF naambiwa sina right ya kuingia. Au naambiwa hamna post yoyote kama ninetumia jf app.Umewahi kupata Ban mkuu?
Kwa JF App ukiwa Banned ukilog in huwezi kuona post hata moja wala uzi.Sijajua. Ila huwa mara nyingine nikijaribu kuingia JF naambiwa sina right ya kuingia. Au naambiwa hamna post yoyote kama ninetumia jf app.
YawezekanaLabda girisi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kuna ID yangu fulani tena ni verified imekula BAN
Baba swalehe mjinga sana yule jamaa hahaaa daahdaahhh huu ushilawadu huu
nyani ngabu
baba salehe (jembe langu hili nakesha jiongeza haha)
alonso
hao kupatwa kwa forex na TMT hakuja waacha salama