Tupia methali unazokumbuka

mchama ago hanyeli hwenda akauya papo
 
Usiache mbachao kwa msaala upitao

Jungu kuu halikosi ukoko

Zimwi likujualo halikuli likakwisha

Pigwa chini uvimbe juu
 
Kata pua uunge wajihi

Mkataa pema pabaya panamuita

Mchimba kisima huingia mwenyewe

Kila mwamba ngoma huvutia kwake

Yote yang'aayo usidhani ni dhaabu
 
Bandu bandu humaliza gogo

Chovyachovya humaliza buyu la asali

Mgaagaa na upwa hali wali mkavu

Wakati huo chini ya mwl.Masilolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…