holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
Ni neno lipi lilikuacha hoi kwenye t-shirt au shati la mtu lakin yeye ndo kwanza hana habr na neno hilo
Mimi kuna jamaa alivaa t-shirt imeandikwa kiss my ass yaan yeye ndo kwanza hna time
Tupia na lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kuna jamaa alivaa t-shirt imeandikwa kiss my ass yaan yeye ndo kwanza hna time
Tupia na lako
Sent using Jamii Forums mobile app