Kete Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 6,656 Reaction score 6,886 Feb 9, 2018 #162 Mkuguu wa kimbulu unaujua? Mguu gani huu wa kuusifia bila aibu mguu paja linalingana na sehemu ya chini baada ya goti! Sifa yake muhimu ni hiyo namba 7
Mkuguu wa kimbulu unaujua? Mguu gani huu wa kuusifia bila aibu mguu paja linalingana na sehemu ya chini baada ya goti! Sifa yake muhimu ni hiyo namba 7
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,882 Reaction score 2,560 Feb 9, 2018 #163 Watanzania bhana, hii nayo ni habari? Kwa nini usiandike profile yake angalau uoneshe unachokisimamia?
Watanzania bhana, hii nayo ni habari? Kwa nini usiandike profile yake angalau uoneshe unachokisimamia?
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,882 Reaction score 2,560 Feb 9, 2018 #164 emmyta said: Mmh. Ukiamua kusifia mtu usije na sifa ya kufanana na mtu fulani au kumpambanisha we msifie tu kama wapo wa kukuelewa watakuelewa. Click to expand... Huyu hasifii bali anajipendekeza.
emmyta said: Mmh. Ukiamua kusifia mtu usije na sifa ya kufanana na mtu fulani au kumpambanisha we msifie tu kama wapo wa kukuelewa watakuelewa. Click to expand... Huyu hasifii bali anajipendekeza.
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,882 Reaction score 2,560 Feb 9, 2018 #165 kiliochangu said: Utakesha mkuu, beauty lies on the eyes of beholders Click to expand... There you're
kiliochangu said: Utakesha mkuu, beauty lies on the eyes of beholders Click to expand... There you're
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Feb 9, 2018 #166 Ana watoto wangap!
The Valiant JF-Expert Member Joined Aug 16, 2017 Posts 2,826 Reaction score 3,947 Feb 9, 2018 #167 Bro..uswahilini kuna watoto wakali balaa