Tupia picha ya mjengo wa chini uliyowahi kukuvutia

Tupia picha ya mjengo wa chini uliyowahi kukuvutia

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Lengo ni kuona mitindo mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za chini
 

Attachments

  • IMG-20240504-WA0021.jpg
    IMG-20240504-WA0021.jpg
    75.9 KB · Views: 10
Shamba kubwa badala ya kupanda hata miti ya matunda yeye anaweka tairiz

Hovyo kabisa, mjinga sana
 
Nikipata nyumba ntapanda miti mingi kweli kwenye eneo langu mpaka nikikaa ubaridi ,kama kwenye jokofu.2033 lazima kieleweke.
 
Kwanza umeweka attachment mbaya imeharibu uzi...kuna mijengeo bana..ya chini lakini inavutia mnooooo
 
Back
Top Bottom