Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Ohoo. Basi umelelewa vizuri. Mimi huwa napenda sana watu wanaojua jadi, mila na desturi zao na kuzitukuza. Bila shaka wewe ni mchaga 'mwanjo'' au mwasho kama wanavyoita warombo.
Weee... sisi siyo waanjo[emoji23] waanjo ni hao jamii ya wamarangu. Sisi warombo tuko kundi la peke yetu. Ukitaka tupeleke kenya

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kona ya kuelekea Nronga, uswaa, shari, masama etc. Mto kalali. Juu kuna msikiti. Sijafika kitambo huku. Miaka ya 90 kurudi nyuma ndo nilikuaga naishi huku. Hakuna njia ilikua mbaya kama hii[emoji119][emoji119] sema mto haujawahi kauka maji huu.. Machame is beautiful[emoji3059][emoji3059] ukisimama hapo kwenye kona utalii tosha. Kama sikosei kuna mfereji pia. Kulikua na matunda pia.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…