Tupia picha ya muonekano wa mavazi ya kisasa kwa mwanaume

Tupia picha ya muonekano wa mavazi ya kisasa kwa mwanaume

wizy

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
4,193
Reaction score
10,440
Tupia picha yoyote ya mavazi ya mwanaume katika muonekano wa kisasa hasa mavazi ya ofisini au katika occasions maalumu

Mimi naanza na hii

AlikibaMTVEMAnominee..jpg
 
Fashion za kutesa mwili walahi!
It’s beautiful lakini mwili umebanwa sana sana uwiii!
 
Niacheni na ushamba wangu, siwezi kuchomekea bila kuvaa mkanda!
 
Back
Top Bottom