Tupia picha ya muonekano wa mavazi ya kisasa kwa mwanaume

Nguo inatakiwa iwe saizi. Isiwe kubwa wala ndogo utaonekana smart sana. Kuna vijana saiv wanavaa suruali kwa kutumia mfuko wa rambo mpk kuvua ni tabu. Na kuna watu wanavaa nguo hata wakikatiza kitaa mbwa wana wabwekea hahaha yaani nguo na mwili havina uwiano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Suruali yangu lazima iwe na 18 chini, sipendi kubanwa banwa mimi.
 
Siyo ustaarabu kuvaa nguo zilizo bana kiafya siyo sawa hii ni backward modernization Bila shaka vijana mnapata taabu sana ?
 
Niacheni na ushamba wangu, siwezi kuchomekea bila kuvaa mkanda!
Tuko wengi mno katika hili, tena nachomekea kiunoni kabisa na suruali ninayovaa ni ya kuvaa mwanaume sio mpira
 
Fashion Mpya kwa wanaume wa Dar , ambao wameathiriwa na Chipsy mayai

No Offense [emoji58][emoji58]
 
Casual
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    7.8 KB · Views: 78
Last edited:
Hiyo picha ya pili ya mleta uzi ni mwanaume wa Dar![emoji30][emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…