Freewine JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 257 Reaction score 211 Nov 15, 2018 #1 Wadau kutokana na changamoto ya bando inayoweza kumkuta memba yeyote humu ndani. Naomba kwa niaba yao tuwe tunatupia ratiba na matokeo ya mechi Kali za ulaya kila siku kwenye Uzi huu. Asanteni
Wadau kutokana na changamoto ya bando inayoweza kumkuta memba yeyote humu ndani. Naomba kwa niaba yao tuwe tunatupia ratiba na matokeo ya mechi Kali za ulaya kila siku kwenye Uzi huu. Asanteni