Tupia Top 4 yako kwa msimu wa EPL wa 2018/19

Top 4 itabaki kama ilivyokuwa msimu uliopita, isipokuwa namba zitabadilika.

1. Man City
2. Liverpool
3. Man Utd
4. Tottenham

Man City atapata tabu lakini si kwa kiwango cha kupoteza ubingwa.

Tunaruhusiwa kunadili?

Man Utd ampishe Arsenal.
 
Hivi kwanini usifute tu hii kitu?
 
Hatimae Mourinho ametimuliwa kama nilivyotabiri hapo juu kabla ya kuanza kwa msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…