Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi au wewe ndio umeweka mada ya kishogaKisa mimi sio shabiki wa Yanga wala Simba? Hoja yako ya kipumbavu sana aisee
1. YangaIkiwa ligi kuu bara alimaarufu NBC ikiwa imeanza jana tarehe 15 Agosti 2022. Hii ndio top 4 yangu kwa msimu wa 2022/2023.
1. Yanga SC
2. Simba SC
3. Singida BS FC
4. Azam FC
Tupia na yako tone
NB. Sina Usimba na Uyanga mimi.
Ikiwa ligi kuu bara alimaarufu NBC ikiwa imeanza jana tarehe 15 Agosti 2022. Hii ndio top 4 yangu kwa msimu wa 2022/2023.
1. Yanga SC
2. Simba SC
3. Singida BS FC
4. Azam FC
Tupia na yako tone
NB. Sina Usimba na Uyanga mimi.