Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #21
Salam aleykum[emoji23]
walykum salam uko mzima wewSalam aleykum
Mimi mzima sana. Vipi khaliwalykum salam uko mzima wew
huku kher tuMimi mzima sana. Vipi khali
Vizuri kabisa. Natumai mfungo unakwenda vizurihuku kher tu
yes vizur mnoo yaan alihamdulillahVizuri kabisa. Natumai mfungo unakwenda vizuri
Basi sawa. Karibu kwa Iftar leo hapa mwembeyanga kwetuyes vizur mnoo yaan alihamdulillah
shukran mbona umechelewa kunialika namna hiiBasi sawa. Karibu kwa Iftar leo hapa mwembeyanga kwetu