Habari wapendwa wanaJF wenzangu nawatakia heri ya sikuu kuu na mwaka mpya kwenu nyote kwa upendo na mshikamano baina yetu, kila la kweri nyote. Tusisahau kutunza afya zetu kwani ndio utajiri namba moja WEALTH = HEALTH
Habari wapendwa wanaJF wenzangu nawatakia heri ya sikuu kuu na mwaka mpya kwenu nyote kwa upendo na mshikamano baina yetu, kila la kweri nyote. Tusisahau kutunza afya zetu kwani ndio utajiri namba moja WEALTH = HEALTH View attachment 3520265