Tupia utabiri wako Bayern Munich Vs Man Utd, Allianz Arena leo

Tupia utabiri wako Bayern Munich Vs Man Utd, Allianz Arena leo

Hiyo picha ilipigwa kesho leo saa sita usiku
IMG-20230920-WA0004.jpg
 
Nawahakikishia matokeo ya leo hayatakuwa Yale ambayo watu wengi walitegemea.

Tuchel ameifanya Bayern isiwe na meno makali.
 
Leo ndio tunaenda kuchana mikeka ya watu wanaobeti kimazoea.

Nyumbu tunashinda hii mechi
 
Back
Top Bottom