Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Daaah .... Hadi mimi mazeee ....naonekana nina fix ? 😂 Hamna bwana. Mi huwa naongea ukweliChizi Maarifa ni kisanga
tembelea jukwaa la siasaMkuu mbona nyuzi zote Jamiiforums hamna za uongo.
Alieanzisha uzi badala ya kutupia hizo uzi yeye katuwekea majina ya watu!,wakati kichwa cha uzi kinahitaji uzi!!. So huu uzi ni uongo tosha..😁
Alieanzisha uzi badala ya kutupia hizo uzi yeye katuwekea majina ya watu!,wakati kichwa cha uzi kinahitaji uzi!!. So huu uzi ni uongo tosha..😁
Ndio maana tunasema jukwaa la siasa.tembelea jukwaa la siasa
Siku hizi kwenye dini ndio kuna uwongo mwingi kichizi, kuliko kwenye siasaNdio maana tunasema jukwaa la siasa.
Ana vijimafua, anakaguliwa kaguliwa. Miushungi anaupiga uwongo mwingi sanaKuna uzi tulidanganywa kuwa mwendakuzimu ni buheri wa afya na anachapa kazi.