Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #61
Chukua hatua ๐คMh! ngoja nifikirie
napenda yale ambayo yameungwa na kitunguu, hoho, karoti, mafuta basi.Tutolee ushamba wako ulitaka waweke mtindi ๐น
Niache kunywa niwe mpole kama samaki hapana kwakweli!Chukua hatua ๐ค
Kabisa mkuu mda mdogo sana hapakabsa mzee kula na kunywa hapa duniani ni muhimu mbinguni huko tukifika hakuna vyakula wala vinywaji ni mwendo wa mapambio
Acha ushamba wako wa migombani, uwe unajaribu na mapishi ya pwani..!!napenda yale ambayo yameungwa na kitunguu, hoho, karoti, mafuta basi.
Hapana kabisa na kazi yangu na mapishi tofautiMkuu bila shaka unafanya kazi za mapishi, si rahisi mtoto wa kiume atoe vitu vzuri kama hivi
Soon ipo njianSiku upike makange samaki/kuku,,,, ! Pia mkate wa kumimina ! Hongera chief,
usinicheke sasaAcha ushamba wako wa migombani, uwe unajaribu na mapishi ya pwani..!!
Ahahah kwa kiasiNiache kunywa niwe mpole kama samaki hapana kwakweli!
Bibi anakufungia sana upatikani kabisaKwa nini hujaniambia mapema kama umepata chombo? Kesho niko mjini dar es alaam.
Sio wewe uchukue recipe kwa Mwachi unipikie? ๐น๐นusinicheke sasa
endelea kujifunza uje unipikie
Soon ipo njian
Nitashukuru ukinitag, kuna kitu nijifunze
upikiwe unavaa suruali?Sio wewe uchukue recipe kwa Mwachi unipikie? ๐น๐น
Wakinga na jiko wapi na wapi? ๐คฃ
Mambo ya hapa na pale yananifanya nakosa muda kiasi, kwema lakini?Bibi anakufungia sana upatikani kabisa
๐น๐น๐น Mxieeeewwupikiwe unavaa suruali?
hivyo vimapembe vyako nitavikata!!
Ww umejifunzia wapi haya mamboHapana kabisa na kazi yangu na mapishi tofauti