Nakwambia huku hutwambii kuhusu ugali, mtamu mno😋Ila mtamu sana una onekana
Huo ugali wote unamaliza peke yako? Kweli wasukuma mnapenda ugali😅
Hapana wasukuma kuna mmoja jana nimeona kapost hivyoUnatuchanganya na wa mbeya ww😅
Na viaziNakwambia huku hutwambii kuhusu ugali, mtamu mno😋
Mi ugali siupendi kuliko maelezoUsicheke ni janga la taifa hili, tumelishwa dona sisi mpaka tunalipenda kuliko ata wali😂 ni ugali na mawashio(furu) daily🤣
Endelea kujidumaza 😃
Nabado ni msukuma😅Mi ugali siupendi kuliko maelezo
😂😂😂😂 niwekwe kwenye rekodiNabado ni msukuma😅
Hahahaha wewe ni wa kwanza aseee😂😂😂😂 niwekwe kwenye rekodi
Nauchukia ugali kwakweli.....yani hata nikiula ni naula basi tuuu yani basiii tu, heri makande ya kina ERoni sio ugaliHahahaha wewe ni wa kwanza aseee
Bora hayo ila sio ugali banaMakande kwangu ndio takataka kabisa 😅 makitu una kula ukimaliza unasikia njaa
chakula affordable sana hiki Eve, tutakula nini sasa?😅Endelea kujidumaza 😃
Yani kadogo hivi😅Huo ugali wote unamaliza peke yako? Kweli wasukuma mnapenda ugali😅
Hmm hapana atakuwa wa tandahimba huyo😂Hapana wasukuma kuna mmoja jana nimeona kapost hivyo
Duh
michembe😂Na viazi
Ulikuudhi nini jamani🤣 au ulikosana na mpishiMi ugali siupendi kuliko maelezo
Msukuma kabisa 🤣Hmm hapana atakuwa wa tandahimba huyo😂
Hongereni sanaNa
michembe😂
Hapana mpaka nione picha😂Msukuma kabisa 🤣