Tupike mlo wa haraka mchesho wa ndizi na samaki

Kwani wali sio affordable? Magimbi, viazi, mihogo, maboga....tena hivi hata bila mboga unakula.

Hicho chakula chako bila mboga hakiliki 😂😂
Mchele kilo moja shingapi? Sh ef2500-3000 wakati mahindi sado nzima 3500 mnakula siku ngapi😂
Magimbi, viazi siwezi bora mihogo..
Wee kama una familia ndio utaelewa,

Ugali ata nachumvi unalika bwana😁
 
Mchele kilo moja shingapi? Sh ef2500-3000 wakati mahindi sado nzima 3500 mnakula siku ngapi😂
Magimbi, viazi siwezi bora mihogo..
Wee kama una familia ndio utaelewa,

Ugali ata nachumvi unalika bwana😁
Ugali tunakula tu ila ni chakula duni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…