Tupike pilau la kuku na njegere

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Hell kwanza poleni na misuko suko ya uchaguzi mlio poteza wapendwa wenu poleni sana

Hivi ndio viungo vyetu tulivyo tumia

Weka sufuri jikoni mimi leo nilitamani tu kupikia jiko la mkaa so nikatengeneza mafiga nikaanza kupika
Kwanza weka mafuta kwenye sufuria acha yapate moto kabisa

Baada ya hapo subiri yapate moto kabisa kisha weka kuku pamoja na kitunguu sahumu kisha koroga mpaka kitunguu kiive vzr

Baada ya hapo weka kitunguu maji kisha kikolege nacho kiive ndipo uweke viuongo vingine kama vile hoho na karoti

Baada ya hpo weka mchele wako kisha na ukoroge vizuri lakin mda uho una kuwa ushaweka kiungo cha pilau mix

Ndipo una weka mchele

Baada ya hapo weka maji ya moto kisha utaweka njegere pamoja na viazi

Baada ya hapo palia chakula chako mimi ndio mfumo wangu sisubiri maji yakauke

Moto ulikuwa mkali sana so niliupunguza na kumwagia maji ili ukali upungue

Baada ya hapo nika ipua na kuanza kuweka kwenye poti

Chakula kiko vzr sana na wewe una weza jaribu
 
Naona unatumia moto wa jehanam kupikia.
Khaaa et jehanam dah 🀣

Ujue sina jiko la mkaa ila mkaa upo wa kutosha so niliamua kuweka mafiga kisha nikajaza mkaa maana mkaa mwingine una wai kuisha au una kuwa na jivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…