KelseaMwakata! Ughonile! Twambombo
Leo nilikuwa na hamu ya pilau so nikasema nitafute nazi ili nipike pilau la nazi
Kuanza nikaanza kukaanga nyama na mafuta kidogo tu uku nikiwa nime changanya na kitunguu swahumu
View attachment 3399622
Baada ya hapo nika chukua pilau masala na birian masala nika zichanganya pamoja ili viuongo viive vzr
View attachment 3399623
Baada ya hapo nika chukua hoho na karoti nika weka kisha nika weka nyanya
View attachment 3399625
Baada ya muda nika weka mchele uchanganyike vzr
View attachment 3399628
Hapa nikawa naji semesha sufuria dogo ila nikawa nakaza fuvu uku naendelea kuchanganya mchele na viungo
Baada ya hapo nikachukua tui ambalo lina uvugu vugu halija chemka lina uvugu vugu na ni tui la pili nika weka
Baada ya kuweka tui ndio nikaona ni vyema kuchange sufuria nikafanya. Ivyo na kuacha maji yakakamie kidogo kisha nika chukua tui lile la kwanza na kuli tia ilia mambo yawe bam bam
View attachment 3399634
Baada ya muda chakula kimeiva kipo vizuri kama nilitamani kitoke
View attachment 3399637
Nipo tayari kutukanwa na wan jf kama kawaida
min -me kitalembwa mbwangali Evelyn Salt @Hamfull
Pombe vibe lake lipo kichwani na sio tumboni bwashee ๐Nyote mko serious na tumbo, ni vile mnatofautiana nyenzo za kulihudumia.
Wewe unatumia kimiminika yeye anatumia yabisi.
Alikupikia uku tokea ๐
Nyote mnapeleka tumboni, huyu anafurahia mdomoni, wewe kichwa inachangamka na unaua minyoo tumboni.Pombe vibe lake lipo kichwani na sio tumboni bwashee ๐
Pombe na pilau wapi na wap bwashee?Nyote mnapeleka tumboni, huyu anafurahia mdomoni, wewe kichwa inachangamka na unaua minyoo tumboni.
Basi sawa Nile pilau kwanza ๐๐๐halafu nitakuachia urithi wangu wa jiko la gesiHapana nisipo kuua bado utanisumbua asee
Kwani kuna shida ๐๐Nyote mnapeleka tumboni, huyu anafurahia mdomoni, wewe kichwa inachangamka na unaua minyoo tumboni.
Uongozi Wa JF Utakupatia Tuzo Ama U Dkt Wa Heshima Upande Wa Sotojo, Koronya LainiSina mpizani mpaka sasa? ๐
Anataka ule utapikePombe na pilau wapi na wap bwashee?
Ahahha mm nataka uniachie mbinukoBasi sawa Nile pilau kwanza ๐๐๐halafu nitakuachia urithi wangu wa jiko la gesi
Tuzo wanazogawa kwa kuangaliana sijuiUongozi Wa JF Utakupatia Tuzo Ama U Dkt Wa Heshima Upsnde Wa Sotojo, Koronya Laini
Nawe UtaangaliwaTuzo wanazogawa kwa kuangaliana sijui
TutaonaNawe Utaangaliwa
Ujawai kula? ๐ au ujawai lisikia?Pilau la nazi tena? ๐น๐น
Kwakweli mume mtarajiwa nakuonea huruma..!!
Jikoni kwenyewe siingii ๐น๐นUjawai kula? ๐ au ujawai lisikia?
Pilau na nazi tena, sijawah isikia hii dogo ndo naona leoMwakata! Ughonile! Twambombo
Leo nilikuwa na hamu ya pilau so nikasema nitafute nazi ili nipike pilau la nazi
Kuanza nikaanza kukaanga nyama na mafuta kidogo tu uku nikiwa nime changanya na kitunguu swahumu
View attachment 3399622
Baada ya hapo nika chukua pilau masala na birian masala nika zichanganya pamoja ili viuongo viive vzr
View attachment 3399623
Baada ya hapo nika chukua hoho na karoti nika weka kisha nika weka nyanya
View attachment 3399625
Baada ya muda nika weka mchele uchanganyike vzr
View attachment 3399628
Hapa nikawa naji semesha sufuria dogo ila nikawa nakaza fuvu uku naendelea kuchanganya mchele na viungo
Baada ya hapo nikachukua tui ambalo lina uvugu vugu halija chemka lina uvugu vugu na ni tui la pili nika weka
Baada ya kuweka tui ndio nikaona ni vyema kuchange sufuria nikafanya. Ivyo na kuacha maji yakakamie kidogo kisha nika chukua tui lile la kwanza na kuli tia ilia mambo yawe bam bam
View attachment 3399634
Baada ya muda chakula kimeiva kipo vizuri kama nilitamani kitoke
View attachment 3399637
Nipo tayari kutukanwa na wan jf kama kawaida
min -me kitalembwa mbwangali Evelyn Salt @Hamfull
Unazingua sana mbona wenzio wana jua kupika utatutia aibu kwa shemeji wewJikoni kwenyewe siingii ๐น๐น
Km kupika kwenyewe ndo huku wacha niitwe bro ๐คฃ
Tembea acha kukaa ndani mda mwingiPilau na nazi tena, sijawah isikia hii dogo ndo naona leo
Ndiyo kusemaje?Ndio ila si nimesema now