Habari zenu waungwana jukwani:
Tangaza Marketing Solutions ni kampuni inajishulisha na advertising,marketing na promotions pia tunasaidia Wajasiliamari na Wafanyabiashara kusajili biashara kuanzia jina la biashara(Brela) sole proprietor,Pertinership na Limited company ikiwa pamoja na Tin number na Leseni, tumeshasaidia wajasiliamari na wafanya biashara kibao humu jukwaani na nje na wengi wao wameshapiga hatua kubwa mpaka sasa, Nyote mnakaribishwa amabao bado hamjasali biashara zenu,
tupo sinza mapambano:
Mawasiliano
0714-074040
0767-074040
Mteja kwetu mfalme
karibuni sanaa.