Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
Walaamu,
Wakuu, tunazidiana kwa kila namna
Tupia wazo lolote ambalo laiti mtu akiligundua kuanzia kiuchumi,kimwili kiroho.....n.k ataacha kulalamika kwa namna yoyote
Toeni ya moyoni, japo msitegemee kueleweka kwa wote
Nawasilisha!
Siku zote una madiniIshi " Authentic Life' you will never regret about anything as well you will never being Vulnerability easily .
Naomba nika print huu uzi!Jihadhari na mashindano, hayanaga faida. Ukimya kwenye mahali palipokutaka uropoke/utukane/ukasirike una malipo makubwa sana. Jaza maji mdomoni, jifunze kukaa kimya. Utajiepusha na mengi.
translate plzIshi " Authentic Life' you will never regret about anything as well you will never being Vulnerability easily .
Ukiishi MAISHA yako hautoweza kushambuliwa kirahisi
Mfano mwili wako ukiusikiliza vizuri huwa haupendi Uvutaji sigara ,hii unaweza kuiona siku ya kwanza MTU ukivuta sigara unakohoa Sana hiyo huwa ni ishara kuwa mwili wako umeuingizia kitu ambacho sio cha kawaida.
Ila wewe utaendelea kulazimisha kuvuta kwa kwakuwa tayari unamuona MTU mwingine anavuta. Tayari.
Hivyo ukiwa mvutaji wa sigara maana yake umeanza kushindwa kuishi maisha yako yenye uhalisia Authentic life.
Ukiishi authentic life utasahau kuhusu mambo yote negative. Na utakuwa unstoppable.
Kiufupi MAISHA yapo kwa ajili ya watu wenye discipline.