afu huku kwenda kusoma ulaya kunapotezea sana watu muda afu wachumba hatuwaoni,hasa wanaumeeeeeeeeeeeeeeee mie nina ukame jamani......tukiangalia our tanzania brothers fTand sisters wanaowana na tayari wanasettle sie tunahangaika tu na maboksi........wewe mkaka may be you need to rethink about your decision...hii inaonyesha hamko compartible when it comes to finances huyo mwanamke atakusumbua siku za usoni,wewe unawaza kuwapelekawatoto weny shule za kawaida yeye anawaza kuwapeleka international school wkt hela hamna,,bado atataka anunue ka vitz kakuringishia mashosti wake wakati hela ya mafuta hajui ataitoa wapi inshort more trouble ahead.
Kwa hiyo hapa una maanisha neyeye aachane na huyu then acheck mbadala faster na waanze maisha?Kuna thread umeanzisha unamshangaa jirani yako kapata mchumba feisi buku ndani ya siku mbili na wameanza maisha. Hujajifunza tu?
hapo anataka harusi ya kifahari, ukijikakamua ukaoa atataka na maisha ya kifahari huyoo. kweli atakusumbua huyo ana mambo makubwa kuliko uwezo wako. cha msingi orodhesha opportunities na threats za kuja kuishi nae huyo bibie then fanya uamuz mkuu.wakuu nina umri wa miaka 32 male, na mwenzangu ana miaka 27: mwenzangu ni mpare mi mnyakyusa. tulianza mahusiano mwaka 2006; kabla hatujaanza mikakati ya ndoa nikaenda masomoni mwaka 2008. ikawa vigumu kuendelea na mchakato, lakini baada ya kumaliza chuo naona bado hakuna dalili ya kufunga ndoa hivi karibuni kwani mwenzangu anahitaji ndoa ya kifahari wakati mimi uwezo huo sina, inanibidi nifanye kazi sana ili nijiweke fiti kwa hilo. natamani saana kuwa na mke jamani
NISAIDIENI WAKUU UMRI UNAENDA.
afu huku kwenda kusoma ulaya kunapotezea sana watu muda afu wachumba hatuwaoni,hasa wanaumeeeeeeeeeeeeeeee mie nina ukame jamani......tukiangalia our tanzania brothers and sisters wanaowana na tayari wanasettle sie tunahangaika tu na maboksi........wewe mkaka may be you need to rethink about your decision...hii inaonyesha hamko compartible when it comes to finances huyo mwanamke atakusumbua siku za usoni,wewe unawaza kuwapelekawatoto weny shule za kawaida yeye anawaza kuwapeleka international school wkt hela hamna,,bado atataka anunue ka vitz kakuringishia mashosti wake wakati hela ya mafuta hajui ataitoa wapi inshort more trouble ahead.
DA, inaamini katika msingi wa 'ushauriano' katika ndoa?Mie mwanaume asiyekuwa na maamuzi huwa ananikera sana.
Utakuja kushindwa hata kufanya maamuzi ndani ya nyumba kisa mke???
Kwani anayeoa mwenzie ni nani?? Au wewe ndo unaolewa???
Fanya maamuzi na wewe ukiamua umeamua unangoja eti anataka ndoa ya kifahari???
Acha hizo bana sema nimeamua ndoa itafanyika hivi na hivi kwisha kama hataki huyo ana lake jambo??
Usikute anakutega ushindwe aendelee na mambo zake wewe hujui shauri yako
DA, inaamini katika msingi wa 'ushauriano' katika ndoa?