Tupongezane wote tuliompigia kura Magufuli

Endelea kujichoresha tu mkuu, una hicho kipaji...ze comedy wana nafasi mkuu cheki nao, hapa unapoteza muda wako bure..
Hiyo avatar yako na ID yako vina kueleza ulivyo
 
Jitahidi kuchangia zaidi ya hayo uliyoandika, nyumbu expert
nichangie na mimi nionekane kwenye group la waizi majangiri ya tembo.majipu tupu ccm wote Magufuri anatumbua vidagaa kutoka ccm shame of you ccm


swissme
 
mkuu unamaanishi kuwa muheshimiwa sana amekuwa akiteua viongozi wa kigango badala ya wakitaifa?
Mkuu shemeji yako ni kutoka kwenye imani yako, ukiwa unazungumza namna hiyo naumia sana, maana nyie ni kama ndugu zangu..ila tunapokua pamoja wala hata hatuzungumzi mambo kama unayoyaleta hapa, ina shangaza sana, ila jifunze kutazamma mambo katika hali chanya na si hasi kila mara..
 
Hizi ni effects za kikao cha mwanza, maana mlivyomaliza uchaguzi mkaenda chemba kuhesabu shanga kama kawaida yenu, naona mimba tayari, hongera utaitwa mama mda sio mrefu..
tuppaa kabisa kibogoyyo wee!! umenyonya DUSHE mpaka umepoteza mimeno umibaki mipengo tu[emoji86]
 
Hiyo avatar yako na ID yako vina kueleza ulivyo
Mkuu nina maswali mawili tu kwako;

1. Mfano Mbowe akiumwa(Mungu epushia mbali) nani hua anafikiri kwa niaba ya Chama ?

2. Ilikuaje ghafla lowasa akawa si fisadi, lakini alivyokua CCM mlikua mnamuita Fisadi, nini kili badili mtazamo wenu ghafla..
 

Umenena vema...
 



nimekuelewa sana, hongera makufuliiiiiii

niaminini mimi sitawaangusha, haki ya jk siwaangushi ng'oooo
 
tunataka serikali inayoonesha utaifa na sio inayoonesha utabaka. uelewe hilo.
 
Mkuu nina maswali mawili tu kwako;

1. Mfano Mbowe akiumwa(Mungu epushia mbali) nani hua anafikiri kwa niaba ya Chama ?

2. Ilikuaje ghafla lowasa akawa si fisadi, lakini alivyokua CCM mlikua mnamuita Fisadi, nini kili badili mtazamo wenu ghafla..
Tulishuhudia jinsi mlivyo mpeleka lowasa mahakamani wakati yupo ccm
 
Soma tena ulichoandika....ubongo wako uko sawa kweli...
Nimesema hivi, tumeshuhudia mlivyo mfikisha mahakamani huyo lowasa kwa ufisadi wake wakati bado yupo ccm, hapo nani mwenye matatizo ya uelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…