Tupostie Kitu/bidhaa/chombo/mali Unayouza upate wateja leo

Tupostie Kitu/bidhaa/chombo/mali Unayouza upate wateja leo

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,011
Reaction score
4,705
Tangaza hapa! Iwe ni samani, electronics, nyumba, gari au vinginevyo—weka picha, bei, na upate mteja leo. ✅ Hakikisha bidhaa ni zilizotumika tu! Usikose fursa ya kuuza haraka.

Tuwekee picha na Bei na location ilipo ikibidi.

Kama umemaliza Ujenzi na kuna vifaa vimebaki huna haja ya Kuvitumia tena na unahitaji mteja tuwekee pia hapa.

Mashamba ya Kukodi,kuuza n.k
 
Tangaza hapa! Iwe ni samani, electronics, nyumba, gari au vinginevyo—weka picha, bei, na upate mteja leo. [emoji736] Hakikisha bidhaa ni zilizotumika tu! Usikose fursa ya kuuza haraka.

Tuwekee picha na Bei na location ilipo ikibidi.

Kama umemaliza Ujenzi na kuna vifaa vimebaki huna haja ya Kuvitumia tena na unahitaji mteja tuwekee pia hapa.

Mashamba ya Kukodi,kuuza n.k
Nauza pikipiki Sinoray 1.7M
IMG-20250224-WA0034.jpg
 
KARIBU KENZO ACCESSORIES

Kenzo accessories ni wauzaji wa Accessories zote za simu, saa na Smartwatch tunauza jumla na rejreja

ACCESSORIES TUNAZO UZA
📌Smartwatch
📌Saa za kawaida
📌EarPods
📌Earphones
📌Headphones
📌Protector
📌Charge
📌USB
📌Speaker
📌Power bank
📌Laptop stand
📌OTG
📌Shaver
📌Fridge guard n.k

CALL 📞 0788929673

TUPO KARIAKOO MKABARA NA JENGO KA SIMBA (SUNDRAND)
 
natafuta Container Imara kwa Bei Nafuu? 🏗️🚢

Tunauza containers tupu za aina mbalimbali, zenye ubora wa hali ya juu kwa bei rafiki! ✅

🔹 20ft & 40ft High Cube
🔹 Dry & Refrigerated Containers
🔹 Zinafaa kwa biashara, ofisi, au maghala
download.jpg
download.jpg
download (1).jpg
 
Kwa mahitaji ya TVs, Fridge, Air Conditioner (A/C) , na vifaa vinginevyo vya electronics. Tafadhali wasiliana nasi kwa namba 0717016789
Img_2025_02_25_12_36_22.jpeg
 
Kibanda Cha aina Hii cha Kukodi kwa maeneo ya Dar kinatafutwa. kwe sehemu iliyochangamka
download (2).jpg
 

Attachments

  • download (3).jpg
    download (3).jpg
    8.1 KB · Views: 2
Juice ya Kitunguu Swaumu lita moja 15,000 inatibu magonjwa zaidi ya 10
 
Back
Top Bottom