Tupunguze Gharama za Maisha

ndugu yangu kabisa kafunga harusi kubwa kwa sababu eti ana marafiki wengi,lakini amini usiamini ndoa imekaa miezi 9 ikavunjika vipande vipande,nimeenda kumwona juzi hali yake sio nzuri,kakonda kwelikweli,mambo hayo!
 
Hebu fikiria hasara aliyopata! Hela ya harusi angekwenda Sheli Sheli Kula raha.
 
Hebu fikiria hasara aliyopata! Hela ya harusi angekwenda Sheli Sheli Kula raha.

ni mtu mbishi mno,nilijaribu kuongea naye na kumshauri ana maisha ya kuishi yake peke yake,hata usipomfurahisha binadam dunia bado utaishi yale maisha yako
 
ni mtu mbishi mno,nilijaribu kuongea naye na kumshauri ana maisha ya kuishi yake peke yake,hata usipomfurahisha binadam dunia bado utaishi yale maisha yako

Nafurahi kupata wafuasi!
 
Naomba uondoe kabisa mawazo mgando uliyonayo kuhusu ndoa' na elewa wazi huelewi chochotekatika hili , taasisi ya ndoa ni kubwa sana na ndio inyotoa dira ya muelekeo wa maisha ya mwanadamu , kama mtu ana tabia mbaya basi kupitia taasisi hii kila kitu kitakuwa wazi na atakuwa na fursa ya kutambua na kurekebisha tabia yake kwa faida ya familia yake na taifa kwa ujumla , ikiwa wewe kama baba au mama katika familia na unakuwa ndio kinara wa uzinzi na ulevi unatarajia kuifundisha nini familia yako '' uzoefu na takwimu zinaonyesha kuwa wanaume ndio waanzilishi wa migogoro na mafarakano katika familia , kwani hupenda kutumia vibaya heshima na madaraka waliopewa kama viongozi wa familia kwa kupoteza uaminifu,kushindwa kuwatunza wake zao , kuwadharau ,kuwaona kama hawanahaki ya kuhoji lolote , kunyimwa uhuru wa maamuzi kifamilia nk. Pindi wanawake watakapo gundua uzinzi unaofanywa na wanaume , mababa hawa huja juu na kusema manawake hawana nidhamu, mara nampa taraka nk , na kuchochea vurugu katika familia mwisho wake ni kutengana na jamii kupata mawazo, na hisia potofu juu ya taasissi hii ya ndoa kuwa ni mbaya na haifai kuwepo kwa mkataba wa kuishi milee . Elewa kuwa maisha ya ndoa ni mazuri sana kama mtaishi kwa upendo na kuchukuliiana matatizo , kwani hakuna mwanadamu aliyekamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…